Manager wa Wema Sepetu
Martin Kadinda Amejitokeza na kusema kuwa Baadhi ya Wasanii wenzake na Wema
Sepetu ndio wanao mchafua Wema mitandaoni kwa kutumia Majina Mengine
kwa kile
anachodai ni wivu wa maendeleo yake , kila siku wanabuni mbinu mpya ya kumchafua
mitandaoni.
Pia amesema wamegundua kuna
Baadhi ya Marafiki zake ndio wanampiga Vijembe wema kwa kujifanya watu wengine.
Wema Anapendwa na mashabiki
zake sana so wanao mpiga vijembe ni hao hao Bongo Movies wasio penda Maendeleo.
