skip to main |
skip to sidebar
BREAKING NEWS:MTAA WAFUNGWA, SOMA HAPA KUJUA SABABU NI NINI
Kundi la muziki kutoka nyanda za juu kusini linaloudwa na lucky junior
,samaiko ,leby cute,etco the best siku ya leo mda mfupi uliopita
wameifunga mitaa ya Mwanjelwa katika maeneo ya maduka makubwa ya nguo
magari yameshindwa kupita wala pikipiki walipokuwa wakienda kununua
viwalo kwa ajiri ya ngoma yao mpya iitwayo fine. Ikumbukwe kwamba Afro
Magic ndo wale vijana waliofanya hit ya Mihogo tupogo rmx ilikuwa ni
full patashika maana wananchi walijazana kuwa tazama na wengine
walisikika wakisema tuimbie kidogo kwa kweli vijana hawa n kiboko
atakama wanasema nabii hakubariki kwao hii imekuwa tofauti maana
wananchi walifwata vijana hawa kila sehemu ili wapate kusikia wakiimba